Mtoka Mbali JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 237 Reaction score 26 Nov 4, 2010 #1 Kama kuna mtu anauza gari aina ya Corolla 110 au ana jamaa anayeuza hiyo gari tafadhali tuwasiliane. Tafadhali nitumie pm hapa hapa au nipatie namba yako kisha tuzungumze biashara. Hii ni kwa walio serious pekee. Thanks
Kama kuna mtu anauza gari aina ya Corolla 110 au ana jamaa anayeuza hiyo gari tafadhali tuwasiliane. Tafadhali nitumie pm hapa hapa au nipatie namba yako kisha tuzungumze biashara. Hii ni kwa walio serious pekee. Thanks