Toyota Corolla fielder

KAma pesa IPO hata Leo nunua hiyo gari hautajuta.
1NZ engine ni roho ya paka kuanzia ulaji wa mafuta uko poa hata barabara za vumbi halina shida.
hiyo gari inafanana na pro box successed Kwa kila kitu
 
Mhhh,naionaga kama imekaa kiulaini laini vile na sio ngoma ngumu ingawa kainjini hako ni kavumilivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…