Toyota Corolla Rumion 2022 New Model

Rumion naona anamfukuza RAV4 kimyakimya uzuri bei hua anapoza kidogo

Ni gari mbili tofauti sana. Na TOYOTA hawawezi kuishindanisha RAV 4 na gari yake nyingine yoyote. Labda Corolla cross ndiyo kidogo inataka kuikaribia RAV4. RAV 4 inafanya vizuri sana duniani. Hii ni gari ndogo ila ni station wagon wakati RAV 4 ni mid-size SUV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…