Car4Sale Toyota Corolla Rumion For Sale

pangakali 2

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
239
Reaction score
221
TOYOTA COROLLA RUMION
Color: BLACK
Mileage: 58800 km
Steering: Right
Transmission: AT General
Fuel: GASOLINE
Drive System; 2WD
Doors: 5DD
Displacement: 1490cc
CIF PRICE; 16 m
Music system: Android
Contact: +255755906255 Whatsp

Unajua maana ya CIF manaake ijalipia kodi? Sasa umepata je number bila kulipa tra
 
Yaani ninunue hiyo kwa 16M wakati nikiagiza au nikienda yard napata kwa bei hiyo halafu namba inakuwa "E".
Upo sahihi. Coz ni mawazo yako siwez kuyapinga kama mm mwaka jana nimeagiza hadi kuifikisha ilinigharim 18 na point ndio iwe sasa upate kwa 16 m sio rahisi labda zile zenye km laki 2
 
Upo sahihi. Coz ni mawazo yako siwez kuyapinga kama mm mwaka jana nimeagiza hadi kuifikisha ilinigharim 18 na point ndio iwe sasa upate kwa 16 m sio rahisi labda zile zenye km laki 2
Mnapigwa sana Rumiom ukanunua kwa 18? Hiyo bei ya kuagiza Dualis. Mnapigwa bei huko halafu mnataka na nyie kupiga watu hapa. Kama usipompata msukuma hii gari mwisho utaiuza sio zaidi ya 15M.
 
Mnapigwa sana Rumiom ukanunua kwa 18? Hiyo bei ya kuagiza Dualis. Mnapigwa bei huko halafu mnataka na nyie kupiga watu hapa. Kama usipompata msukuma hii gari mwisho utaiuza sio zaidi ya 15M.
wakikutana na akina mosses magari lazima wanyooshwe.
 
Mbona naona imesajiliwa kabisa, iweje useme hiyo ni bei ya CIF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…