Toyota Corona Exiv

Toyota Corona Exiv

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
hii gari ni y amwaka 1994.........ni saloon car inafanana sana na Cresta..

hii ni manual car with engine capacity ya 1840 cc.....

nataka niinunue toka kwa jamaa yangu wa karibu..mnasemaje kwa wale mnaoifahamu?
 
mbona picha hamna, weka picha tuone ili tukushauri vyema
 
Imetembea km ngap na anataka sh ngap. Mi nnayo cresta nipe 7m nakuachia. Ila ipo mbeya
 
Back
Top Bottom