mkonowapaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,492 Reaction score 768 Feb 3, 2012 #1 hii gari ni y amwaka 1994.........ni saloon car inafanana sana na Cresta.. hii ni manual car with engine capacity ya 1840 cc..... nataka niinunue toka kwa jamaa yangu wa karibu..mnasemaje kwa wale mnaoifahamu?
hii gari ni y amwaka 1994.........ni saloon car inafanana sana na Cresta.. hii ni manual car with engine capacity ya 1840 cc..... nataka niinunue toka kwa jamaa yangu wa karibu..mnasemaje kwa wale mnaoifahamu?
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,652 Feb 3, 2012 #2 mkonowapaka said: hii gari ni y amwaka 1994.........ni saloon car inafanana sana na Cresta.. hii ni manual car with engine capacity ya 1840 cc..... nataka niinunue toka kwa jamaa yangu wa karibu..mnasemaje kwa wale mnaoifahamu? Click to expand... mbona picha hamna, weka picha tuone ili tukushauri vyema
mkonowapaka said: hii gari ni y amwaka 1994.........ni saloon car inafanana sana na Cresta.. hii ni manual car with engine capacity ya 1840 cc..... nataka niinunue toka kwa jamaa yangu wa karibu..mnasemaje kwa wale mnaoifahamu? Click to expand... mbona picha hamna, weka picha tuone ili tukushauri vyema
ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,340 Reaction score 4,069 Feb 3, 2012 #3 ACHANA NAYO,tembelea www.tradeview.com uone magari ya chee na mapya chini ya miaka 10
B BLB JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 382 Reaction score 43 Feb 3, 2012 #4 Imetembea km ngap na anataka sh ngap. Mi nnayo cresta nipe 7m nakuachia. Ila ipo mbeya