Toyota corona premio inauzwa

Toyota corona premio inauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
1998 model in 3s injini imetulia na bei yake poa 6.5mil tu.
kwa maelezo zaidi 0717114409
 

Attachments

  • corona 1.jpg
    corona 1.jpg
    38.5 KB · Views: 185
  • corona 2.jpg
    corona 2.jpg
    33.3 KB · Views: 189
mwisho kabisa ngapi coz unatakiwa ushuke si unajua magari mengi kwa sasa
 
Inasoma km ngapi,
Ina tatizo gani linalofanya uiuze?au ndo mwenye kadi anadai chake?
 
jamani mwenye kisu aende akiliona atajua
 
mkuu mwanafalshafa

ukiona hivyo hao washazoea kununua magari ya million 3 yalioisha kabisa lakini yanatembea
 
Mwisho 6.4mil. Yapo mengi ndio. Angalia pia ubora wa hayo.
 
Nauza bajaji kwa hiyo bei. you are welcom!
 
Kitomai unadaiwa na JF. ushajitangaza vya kutosha. you have to pay our commission now!
 
Kitomai unadaiwa na JF. ushajitangaza vya kutosha. you have to pay our commission now!


Kwali Vivian> jamaa ana advertise vitu kibao na vinauzika kwanini? asiwe wa kwanza kuchangia JF kwani ni kioo cha Jamii. mwambie akalipie Huyu Kitomai
 
Back
Top Bottom