Toyota Cresta GX100

Plan Radeem King

Senior Member
Joined
Mar 25, 2018
Posts
198
Reaction score
127
Sikuwahi kumiliki gari, but truly nimetokea ku fall in love na hii kitu!

Kikubwa ni stability yake brbrni, kuwa na engine yenye nguvu pia bila kusahau upatikanaji wake wa Spea kwa wingi na bei nafuu.

Swala kinakuja hapa, which one is the best to do?
Kuiagizia Japan ama nitafute hizi zinazo tumika Tanzania?

Natanguliza shukrani
 
Hio gari nzuri sana mkuu, namba c unaipata hata kwa 4.5m kwa sasa hapa mjini. Ni gari nzuri sana ambazo mjapani ametengeneza katika historia ya toyota.
 
Nice car, na waweza pata Tanzania nzuri tu, sioni sababu ya kuagiza..... na siamini kama utaipata Japan kwa bei rahisi, "OLD IS GOOD" Mi nilitafuta sana mark II au Chaser Box - Japan, ni ghali kuliko IST
 
Boss, unamiliki aina hii ya gari nini?
 
Nimejaribu kucheki ktk baadhi ya website but naona nyingi zina 1G vvti, and my best option ni 1G KAVU
tofauti ya 1G VVTI inatumia mafuta kidogo kuliko 1G kavu kuhusu uimara 1G kavu ni imara Zaidi ya vvti nakushauli chukua vvti mimi ninayo ya hivyo sijawahi kujutia chaguo langu hizi gari ndogo tunaangalia bodi engine ikizingua unainunulia tuu
 
Mkuu tofauti ya mafuta ya 1g vvti na 1g non vvti nikubwa sana?
Na swala la maintenance ya vvti engine nadhani ipo juu ukilinganisha na KAVU
 
Mkuu tofauti ya mafuta ya 1g vvti na 1g non vvti nikubwa sana?
Na swala la maintenance ya vvti engine nadhani ipo juu ukilinganisha na KAVU
utofauti upo tukisafari kilometa 1200 tunatofautiana mafuta ya laki moja maintenance yake ni rahisi tatizo ni overall ndio mafundi zinawasumbua mimi nimekaanayo miaka minne bila kusumbua zingatia service tuu rafiki yangu amekaanayo miaka kumi ndio sasa inaanza kuchoka kumbuka engine yake ni kubwa sana bodi ni dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…