Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikifika 6.5 unicheki 😀😀Ikifa 10.5m tustuane
Price drop 13.7
inasubiri nini??Bado ipo .
Hahaangoja nikuibie siri ila usimwambie mtu "hiyo gari uza million 8" and thank me later.
Kwa nini ni ya ukweli wakati haipo katika gari bora kumi zinazouzika duniani?Ya ukweli ila ikifika 10.5M tustuane
Sasa gari ya mwaka 2005 unataka uione kwenye charts za mwaka 2021 mkuu?Kwa nini ni ya ukweli wakati haipo katika gari bora kumi zinazouzika duniani?View attachment 1842046
3,500 tu mkuuKama hiyo mpya toka japan ni sh ngap
Kwani hawana model za mwaka 2021?Sasa gari ya mwaka 2005 unataka uione kwenye charts za mwaka 2021 mkuu?
Kwa ile ripoti ya EWURA iliotoka juzi ikifika million 7 tuchekiane mkuuHabari wakuu,
Nauza gari yangu Toyota CROWN (Athlete), Year-2006, CC2490, New Tyres plus SportRims. Gari bado ipo na hali nzuri sana ni Namba (DU) Bei13.7 Maongezi yapo.
Mawasiliano 0687680025 Iringa.
View attachment 1819126
View attachment 1819129
View attachment 1819142
View attachment 1819143
View attachment 1819144