Hawana mkuuKwani hawana model za mwaka 2021?
Gari nzuri sana hiyo.....Kwa nini ni ya ukweli wakati haipo katika gari bora kumi zinazouzika duniani?View attachment 1842046
Model yao ya mwisho ni ya mwaka gani mkuu?Hawana mkuu
2008Model yao ya mwisho ni ya mwaka gani mkuu?
Duh!!!π³π³π³2008
Ina maajabu gani ??? Bei hiyo hupati mtu.
Baada ya zile tozo za kutuma na kutoa hela, soko kuu la kariakoo kuungua na kutangazwa kwa wagonjwa 408 wa corona ikifika millioni 5 naomba msisite kunitaarifu !Kwa ile ripoti ya EWURA iliotoka juzi ikifika million 7 tuchekiane mkuu
6 serious?πIkifika 6.5 unicheki ππ
10m plainHabari wakuu,
Nauza gari yangu Toyota CROWN (Athlete), Year-2006, CC2490, New Tyres plus SportRims. Gari bado ipo na hali nzuri sana ni Namba (DU) Bei13.7 Maongezi yapo.
Mawasiliano 0687680025 Iringa.
View attachment 1819126
View attachment 1819129
View attachment 1819142
View attachment 1819143
View attachment 1819144
Zinakimbia kuliko ziiipiHizi gari zinakimbia Sana halafu usiku inapendeza