Car4Sale Toyota crown inauzwa namba EAA

Hakuna dalali hapo
 
Kutoka 2004 mpaka leo imetembea km 97,000. Wajuzi hii inakuwaje?
Acha ushamba mbona hujauliza toka 2004 kwann imesajiliwa namba E wakat ingetakiwa iwe namba A huko. Muda mwingine unaweza jidai mjanja halafu ukapigwa sehemu ndogo.

Siku hizi usiangalie km wala usajili kagua gari umeipenda ni nzima beba maana hata huko Japan wanashusha hizo km kama kawa
 
Ume panic sana na jamaa kauliza tu swali alitaka ajue,hapa hujamjibu kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…