Toyota Crown Royal Saloon 260KM/hr

Toyota Crown Royal Saloon 260KM/hr

Mapfa A

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
250
Reaction score
259
Habari wakuu,

Juzi nimeona Clip ikionyesha Toyota Crown yenye 2.5L na Top Speed ya 260km/hr, Tumezoea Magari haya wakiyadisi kuwa yana nguvu ila Top Speed yake ndogo (180Km/hr), hivyo naomba kuuliza.

Magari kama haya ambayo hayajatengenezwa kwa ajili ya Japan (Domestic Market) ukitaka kuyaagiza yanapatikanaje? Maana kwenye website za kuagiza magari Japan hayaonekani.

IMG_1294.jpg


Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom