Hiyo crown itakuwa inatokea kwenye soko la SINGAPORE ukiingia kwenye mtandao wa be forward utaziona wanauza gari nyingi Sana za Singapore ingawa wabongo wanadai kuwa hizo gari kutoka Singapore ni Vimeo Sana .
ingia site za singapore mzee japo usije kulalamika tena humu kuwa wamekuuzia spana mkononi
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wajerumani weusi wa JF mko wapi mje kubisha?
Balaa sana hii sijui kwanini waliachana nazo,nakumbuka kuna moja nyeusi ilikuwa inapaki karibu na kanisa la Mt Joseph Dar ilikuwa kali sana with 2.8l engine!
504 GL hii ile GR na SR zilikuwa na 180km/h
Peugot.Felari