Toyota Duet

Ngodaz

Senior Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
120
Reaction score
113
Wakuu naombeni mnijuze kuhusu uzuri na changamoto wa hiki kigari, nataka ninunue ka kutembekea mjin,
 
Faida yake kubwa huwezi kukwama kirahisi maana utakinyanyua na kukiweka eneo zuri maisha yanaendelea
 
Hiko kigari ni kigumu sana mimi nakitumia mwaka wa sita huu hakijanisumbua sana mafuta kinatumia vizuri sana ila kikianza kuzingua tafuta fundi mmoja tu atakayekuwa anakirekebisha sio kila fundi, maana injini yake ni ndogo na iko very complicated, kwa ujumla ni gari nzuri na spare zipo nyingi tuu ingawa ziko juu kidogo sbb sio toyota ni daihatsu toyota duet ni jina tuu
 
Asante mkuu nimekupata vizur
 
toyota duet ni toyota mzee daiatsu ni daiatsu zimeshea mabody
kama passona boon terios kid na camy
 
Angalia kigezo chako ni kipi; fuel consumption au mileage au price n.k.
Ukishajua kigezo chako, basi utalinganisha kati ya starlet, duet na nyinginezo.
 
Angalia kigezo chako ni kipi; fuel consumption au mileage au price n.k.
Ukishajua kigezo chako, basi utalinganisha kati ya starlet, duet na nyinginezo.
Sawa mkuu nimekusoma, kwanza [emoji618] consumption, unique at kitaa, vilevile na uimara durability
Na bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…