ebbyramadhani
Senior Member
- Jan 5, 2017
- 101
- 109
Habari,Habari wana jamvi
Naomba kufahamu kuhusu Toyota Duet
Inafaa kumiliki kwa sisi wa hali ya chini
Na kama inafaa ina kipi special
Lakini pia kama haifai
Tatizo lake ni lipi?View attachment 1032627
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππLabda kama ni gari la kwanza, ila mara mia ujichange ununue IST. Kama ni parefu basi VITZ anagalau. Hiki niliwahi kukipanda, hata kwenye lami utahisi uko rough road ππ
Hivi kweli kimetoka Toyota? Mie nahisi ni ki Daihatsu tu kile kimebandikwa nembo. Maana ndio tu gari twao huto.tule tugari tuna sura mbaya utafikiri mdudu....
Toyota wapo vizuri ispokuwa kwenye hiyo timu yao ya mainjinia kitu wamekikosa ni exterior na interior designers......
**** magari mengine wanaunda utafikiri toy za watoto....embu tizama toyota porte, willy, na hiyo duet.....
Japan kampuni wanazojitahidi kwa body designing angalau Mazda na Mitsubishi....gari zao zinamuonekano wa magari halisi sema tu vile spea taabu[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu Kama wanne hv zinawasumbua Sana Tena mpya kabisa hzo gar hamna kitu kabisaGari zuri kwa watu wenye kipato cha chini.
Wengi wenye lugha za dharau hawaja wahimiliki gari,wasikutishe,zaidi ya kuendesha magari ya shemeji zao.
Achana kabisa na hiyo gari. Usije shangaa siku ya kwanza kabisa unaanza kuitembelea kikazima na kulazimika kuita break down. Mimi ni mhanga wa hicho. Sikutaka hata kumuuzia mtu nilikigawa bure sikutaka kumuingiza mtu kwenye matatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app