Car4Sale Toyota Fancargo imenyooka ipo sokon bei nzuri

Adamu Alphonce

Senior Member
Joined
May 2, 2012
Posts
146
Reaction score
226
Toyota Fancargo
Year:2001
Engine:cc 1290
Km:80,000+
Price:5.3M bei inazungumzika
Contact:0765 290 727

Mpya haina hata namba inauzwa 6.5m ukiagiza had inafika bongo
Yard pale Jan international ilikua 7.5 mpyaaa

Hyo namba B kwa ushaur tuu uza 3.5m...

Au laa tafuta watu wa mkoani ila sio dsm
 
Mpya haina hata namba inauzwa 6.5m ukiagiza had inafika bongo
Yard pale Jan international ilikua 7.5 mpyaaa

Hyo namba B kwa ushaur tuu uza 3.5m...

Au laa tafuta watu wa mkoani ila sio dsm
Dah! Jamaa kwa maelezo yako lazima ataghairi kuuza hiyo gari
 
Hawa madalali wanaona watu maboya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…