Toyota fielder 1.5cc na 1.8cc Which is best?

Joined
Sep 8, 2013
Posts
23
Reaction score
11
Nimeipenda hii gari, nipo njia panda kati ya cc 1.5 na 1.8! kwa mwenye uzoefu ni ipi ambayo nitakua comfortable kwa safari ndefu, wakati huohuo nitatumia mafuta kidogo, na itakua funny to drive! Maana tatizo langu kubwa nimeshaathirika kusaikolojia kidogo yaani naogoa gari nikisikia inakula sana mafuta,,maana kuna gari nilimiliki cv 2500 halaf pia inaturbo sitaki kukumbuka huo urafiki na vituo vya mafuta,,msaada kwa wenye uzoefu
 
1.8l itachanganya haraka kuliko 1.5l. Kwa hali ya kawaida, 1.5l itatumia mafuta vizuri, lakini kwenye highway, kama unataka kufika haraka, 1.8l itatumia vizuri kwa uwiano wa muda na mafuta.
NB. Ukisema 1.5 au 1.8 inakuwa ni lita, sio cc.
 
Jamaa ni mzoefu wa kumiliki gari alafu anauliza kati ya gari la 1.5L and 1.8L ya same model lipi linakula mafuta kidogo zaidi 😁 😁 😁
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Utumiaji wa mafuta

Toyota Fielder 1500cc Fuel Consumption: 18 km/L

Toyota Fielder 1800cc Fuel Consumption: 15km/L

Acceleration :
The 1500cc Toyota Fielder accelerates from 0-100 km/h in 10.2 secs.
The 1800cc Toyota Fielder accelerates from 0-100km/h in 8.8 secs.
 
1.8L ulaji wake uko juu kidogo ila haiumizi sana sababu ni nyepesi kuchanganya kwenye highway.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…