Toyota Fortuner "Mjapan mwenye vinasaba vya Marekani"

Siwezi tumia gari ambayo inashea engine na kina prado na hilux😁😁 ...yani niwe kwenye huo mgari afu mtu wa Hilux anakukazia na humpiti kweli 😁
 
Mkuu hiyo kitu naikubali lakini machine za kimarekani ni hatari sana kuko na hii Chevrolet suburban ni kitu ya hatari nafikiri hawa fortuner waliiba formula hapa
 
Ila Jeep Grand Cherokee SRT za kuanzia 2014 zimesimama hatari...unakua na mnyama kama huo pembeni na mtoto mkareeeee....bongo kama mamtoni vile
Tuna utofauti wa ladha.

Sipendi gari za USA.

Nyingi ni very ugly.

Napendelea zaidi UK na Germany, magari yao yapo vizuri kimuonekano na performance wise.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fortuner ni hilux iliozibwa nyuma ikawekwa viti vya ziada.
NB: Hilux ni pick up truck
Hilux naifahamu...
Nilikuwa nakuzingua tu sababu uliandika "Toyoa Hilux" badala ya Toyota Hilux
 
Toyota fortuner, pacha yake Ford Endevour... haya magari mawili nikiyaona moyo wangu unasema paaaah... kibongo bongo, tunasema, one day yes [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Uchafu mtu ahakuna gari ya kishamba kama hiyo, bora hata prado japo nazenyewe huwa sizielewi.
 
Hiyo Fortuner sio gari tough ya off-road hiyo bado ipo kwenye luxury na wenzake wakina Prado na Surf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…