Toyota Fortuner "Mjapan mwenye vinasaba vya Marekani"

Jua pia GM wana kiwanda chao china.Buick, Chevrolet na Cadillac zinazalishwa hapo hapo.

Magari ya kimarekani shida yake ni reliability tu,hapo ndipo kwny utata sana lkn pia magari yao mengi yana engine kubwa kubwa yaani huko V8 ni kawaida tu ingawa sasa hivi wamejitahidi kuanza kutengeneza gari zenye engine za saizi ya kati afu wanazipiga turbo/super chager.
 
Fuel is very cheap in US.

Ndo maana ni rahisi kuona gari ya CC 6000.

Engines za gari za US hazipo efficient. Gari V8 ina ina hp 300 wakati EU wana gazi za CC 2000 inakupa 400 hp.
 
Fuel is very cheap in US.

Ndo maana ni rahisi kuona gari ya CC 6000.

Engines za gari za US hazipo efficient. Gari V8 ina ina hp 300 wakati EU wana gazi za CC 2000 inakupa 400 hp.
Nakubali mkuu igawa naonaga kwny bei hatupishani nao kiviile,per gallon kwa sasa wanalipa $2.597 so per lita ni 0.67 kama Tsh. 1600/litre .

Nadhani ndio maana na wao kwa sasa wameona wajaze hizo super/turbo charger kwa wingi,ingawa mi napendelea natural aspirated engine maana turbo ile lagging hua inanizingua.

Turbo napenda isiwe ya matumizi ya kila siku,iwe for funny tu.

V8 inayotoa Hp 300 hua iko very very smooth barabarani wkt gari yenye cc 2000 inayotoa hp 400 hua haiko smooth kama hio V8 barabarani
 
Kumbuka wao kipato kwa mtu wa kawaida ni kikubwa sana kukilo sisi.

Wao mwaka mzima mtu anaingiza hata $50,000 kutoka $150 ya mafuta kwa mwezi si sawa na sisi huku bongo mwaka mzima mtu anaiingiza $8,000 kutoa $150 ya mafuta kwa mwezi ni hatari sana.
 
Uko sawa kabisa mkuu.
 
Kati ya magari ambayo toyota walitengeneza yakatengenezeka ni fortuner, hii model ya 2018 imekuja na design nzr sana kwa nje
 
Used yake ni bei ghali halafu tabu ingine yana ma Engine makubwa kubwa tu😅!

Unakuta gari ya chini ina 5000cc au 6200cc hahahaha hayanunuliki gas guzzlers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…