Habarini wadau,
Nilikuwa naomba msaada wenu wa kimawazo nina gari aina ya Gaia inayotumia engine ya 3S sasa hii gari inakula mafuta sio kawaida, tumejaribu kuweka lita moja ya mafuta ikatembea kilometa 5.
Tumejaribu kubadilisha spark plug lakini tatizo bado lipo pale pale.
je tatizo linaweza kuwa ni nini??