TOYOTA GX100 1G FE vs SUBARU LEGACY B4 vs BMW 3series ya mwaka 2001 VS MARCEDEZ BENZ C CLASS YA MWAKA 2001

TOYOTA GX100 1G FE vs SUBARU LEGACY B4 vs BMW 3series ya mwaka 2001 VS MARCEDEZ BENZ C CLASS YA MWAKA 2001

themathematicalmodelling

Senior Member
Joined
Feb 2, 2018
Posts
174
Reaction score
327
mambo vipi wadau hope you are doing Good
jama nataka kununua gari moja kati ya hizo hapo tajwa hapo juu jamani naomba ushauri kuhusu the best option interm of reliability and comfortabillity zote zikiwa chini ya 50000kms millage ipi is the best ambayo sio pasua kichwa
 
Back
Top Bottom