Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si useme tuu wewe ni dalali
Dah,we jamaa mineno yako kuntu.😄😄Ningekuwa na hela nisingejiuliza mara 2 gari inaonekana imetoka kwenye mkono wa mtu mwenye ahueni ya maisha!
Japo bei iko juu kwa 2nd hand car ila gari iko in fair condition kabisa, sio unanua gari 2nd hand halafu unajikuta eti unatakiwa utumie 3M kuifanyia conditioning au hapo hapo unaanza kuhangaika na mafundi kuifanyia ukarabati. Hilo hapana kwa kweli!Dah,we jamaa mineno yako kuntu.😄😄
Madalali ttzo shehe, Kuna Gari flan namjua mwenyew anataka 6mil tu Jana nimekutana nayo kwenye mtandao dalali kaweka 8.2mil hadi nkashangaa sanaJapo bei iko juu kwa 2nd hand car ila gari iko in fair condition kabisa, sio unanua gari 2nd hand halafu unajikuta eti unatakiwa utumie 3M kuifanyia conditioning au hapo hapo unaanza kuhangaika na mafundi kuifanyia ukarabati. Hilo hapana kwa kweli!
Gari raha ununue body imenyooka haina vipengele kabisa yani utembelee baada hata ya 6 -8 months huko ndo uanze sasa mpango wa kugusagusa kidogo aidha vibush bush kubadili au plugs!
Bei irekebishwe atleast iwe 16-17M inakuwa fair kama gari inauzwa na mwenye gari!
Hahahahah dalali anataka ale 2m kwa ubua tu!Madalali ttzo shehe, Kuna Gari flan namjua mwenyew anataka 6mil tu Jana nimekutana nayo kwenye mtandao dalali kaweka 8.2mil hadi nkashangaa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeliona hilo pia Mkuu.Ningekuwa na hela nisingejiuliza mara 2 gari inaonekana imetoka kwenye mkono wa mtu mwenye ahueni ya maisha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Comment zimejaa wapambe ..[emoji23] wapambe nuksi saaana
niunganishe nae nimsaidie kuuzaMadalali ttzo shehe, Kuna Gari flan namjua mwenyew anataka 6mil tu Jana nimekutana nayo kwenye mtandao dalali kaweka 8.2mil hadi nkashangaa sana