rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 180
- 152
Nimecheka sana...lakini umenena.Pole huku hupati kitu
labda ipeleke mtandao wa www.zoomtanzania.com lakini si kwa bei hiyo
Harrier (matako ya nyani) anzia milioni 15
vyuma vimebana sio enzi za JK hizi
Mfanyabiashara hatakiwi kuhamaki kwa maneno ya wateja.Wanakujaribu,usichukie.Soma zaidi utaelewa: Acha kuwashwawashwa:
Toyota Harrier - Wikipedia
Ipo bwana.Mkuu hakuna gari inaitwa Toyota Harrier Lexus. Ama ni Toyota Harrier au ni Lexus RX.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mm mwenyewe alikuwa ameniacha njia panda kidogoMkuu hakuna gari inaitwa Toyota Harrier Lexus. Ama ni Toyota Harrier au ni Lexus RX.
Siyo mtaalamu wa magari lakini nadhani nimeshawahi kuona gari la namna hiyo.Ipo bwana.
gari kasahihisha huyo jamaa pale juu jina lake halisi ila... kusema toyota harrier lexus unaelewa fasta tu.Siyo mtaalamu wa magari lakini nadhani nimeshawahi kuona gari la namna hiyo.
ha ha ha ha eti matako ya nyani huku dar tunaita nsuraPole huku hupati kitu
labda ipeleke mtandao wa www.zoomtanzania.com lakini si kwa bei hiyo
Harrier (matako ya nyani) anzia milioni 15
vyuma vimebana sio enzi za JK hizi
Huyo msanii anajua kama pacha wake anauzwa "milioni salasini na mbili"?ha ha ha ha eti matako ya nyani huku dar tunaita nsura
Umesomeka boss![emoji41] [emoji106]Sawa ndugu. Tatizo kuna watu wako humu just ku follow page na kuandika negativity. Kama unapesa na unaitaka then unauliza. Lakini sio mara mbona nyembamba.. nk.