Toyota harrie lexus inauzwa mwanza

Nipo Dar nikiitaka inakuwaje..Nasiwezi kuja huko kuifuata
 
Gari imechoka kichizi eti 32 mbilioni hata laki tatu na ishirini sichukui.
 
Love Nuru:
Mkuu naelewa usemi wako maana inaonyesha vyuma vimekubana kweli mpaka macho yanaweka ukungu na Nuru imeanza potea. Na bado mkuu hii ni miaka miwili tuu. Ngoja tumalize ungwe ya kwanza. Vitu vyote tutaviona vibaya kufariji moyo.!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…