Sina kiongozi. AsanteGari imetulia vipi una carina TI ama alteza.? au rv 4 budget yangu ni ml 7
Asante kiongoziIpo vizuri .
Nazikubali sana hizi gari
Watejaaaaaaa
Mkuu ni pm nina rav4 kama tatu hivi nazitoa kwa bei nzurGari imetulia vipi una carina TI ama alteza.? au rv 4 budget yangu ni ml 7
Tumekusoma kiongoziMkuu ni pm nina rav4 kama tatu hivi nazitoa kwa bei nzur
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
Mkuu harrier sidhan kama utapata kwa bei hiyo. Ngoja waje hapaNatafuta ya milion 5
Carina TI ipo, kama upo serious ni pm namba yakoGari imetulia vipi una carina TI ama alteza.? au rv 4 budget yangu ni ml 7
Asante kwa offer mkuu. Ila nilipenda kuiuza cash.Mkuu ikipungua bei nambie tubadilishane na passo na nikuongezee hela kidogo
M5 upo chini sana kiongoziNatafuta ya milion 5
LolMbona umeficha namba familia hujawashirikisha nini?
haya
Mkuu nashukuru ila 12 bado upo chini sana kamanda.Mkuu ipo 12 cash tufanye biashara kesho
nimeona kuna uzi humu ndani unazungumzia magari ya chini ya M5. Utafute huu uzi unaweza kukusaidia kamandaNatafuta ya milion 5