Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
Sio waharibifu kama wanaume.Samahani mi mgeni ...hivi hapo kisifa Cha ya 'mdada' kwenye hili Tangazo kinasimama badala ya Nini!
Karibu mkuu, ukiinunua utamuona tuuππππHuyo mdada mbona haonekani kwenye picha? Naona gari tu.
Gari ipo mkuu, karibu sana. TupigieGari ipo mkuu
Usiogope mkuu hata kadi ni jina la mdada.Gari ya 2016 kununua kwa 21 wakati unaweza kuagiza ukaipata kwa bei karibia na hiyo ni ufala. Na pia madalali wengi hupenda danganya watu kuwa ni ya mdada au ya mhindi. Ukinunua ndo utajuta
Kabisa mkuuSio waharibifu kama wanaume.
Sio waharibifu kama wanaume.
Karibu ununue utamuona mkuuHebu muweke huyo mdada tumuone