Toyota Harrier Matako ya Nyani VS Subaru Forester TX

Toyota Harrier Matako ya Nyani VS Subaru Forester TX

Jack HD

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
851
Reaction score
1,168
Wakuu wa jamvi habari zenu,

Nipo kwenye uchaguzi Kati ya gari hizo mbili. Nataka my second car iwe kati ya hizi gari mbili. Nahitaji performance, fuel consumption nzuri, comfortability, stable barabarani na upatikanaji rahisi wa spare.

Mwenye ujuzi na uzoefu wa gari hizi mbili amaweza share experience na kunishauri nielekee wapi. Natanguliza shukrani

1602082978675.png

Toyota Harrier Matako ya Nyani

1602083066341.png

Subaru Forester TX

Kwa vigezo ulivyovitaja, chukua tu tako la nyani..[emoji119][emoji119][emoji119]

Ungehitaji power, uimara zaidi, na kumudu rough road, mafuta mengi kiasi...subaru ndiyo pahala pake..[emoji38][emoji38].
Mkuu fuel consumption ya harrier 240G Cc 2400 na Forester 1990Cc ulaji wa mafuta Forester iko juu??? Ama labda uwe unakimbia kimbia??
 
Mkuu hii ipo chinichini na sio perfect SUV. Nahitaji gari hata nikitaka kwenda shamba huko ambapo ni rough road nisijiulize
Kama unataka gari ya kwenda shamba chukua hii hapa. Ni Mid Size SUV Ila ina four wheel kali sana.
Hizo ulizoweka hapa ni nzuri lakini sio gari ya kwenda shamba
 
Attachments

  • 37B9AABF-94F6-45E2-B120-9B4F749646F8.jpeg
    37B9AABF-94F6-45E2-B120-9B4F749646F8.jpeg
    58.9 KB · Views: 155
Wakuu wa jamvi habari zenu,

Nipo kwenye uchaguzi Kati ya gari hizo mbili. Nataka my second car iwe kati ya hizi gari mbili. Nahitaji performance, fuel consumption nzuri, comfortability, stable barabarani na upatikanaji rahisi wa spare.

Mwenye ujuzi na uzoefu wa gari hizi mbili amaweza share experience na kunishauri nielekee wapi. Natanguliza shukrani

View attachment 1593241
Toyota Harrier Matako ya Nyani

View attachment 1593242
Subaru Forester TX

Ila harrier hiyo ni ile hybrid sio tako la nyani
 
Kama unataka gari ya kwenda shamba chukua hii hapa. Ni Mid Size SUV Ila ina four wheel kali sana.
Hizo ulizoweka hapa ni nzuri lakini sio gari ya kwenda shamba
Mkuu nashkuru sana kwa mchango ila lengo ni kupata multipurpose car, nikitaka kwenda shamba nakwenda nalo, nikitaka kwenda mtoko na baby bhasi gari pia hainiangushi. Hii uliyoweka Nadhani shamba its fine ila mtokoni itaniangusha boss.
 
Back
Top Bottom