Mkuu fuel consumption ya harrier 240G Cc 2400 na Forester 1990Cc ulaji wa mafuta Forester iko juu??? Ama labda uwe unakimbia kimbia??Kwa vigezo ulivyovitaja, chukua tu tako la nyani..[emoji119][emoji119][emoji119]
Ungehitaji power, uimara zaidi, na kumudu rough road, mafuta mengi kiasi...subaru ndiyo pahala pake..[emoji38][emoji38].
Kama unataka gari ya kwenda shamba chukua hii hapa. Ni Mid Size SUV Ila ina four wheel kali sana.Mkuu hii ipo chinichini na sio perfect SUV. Nahitaji gari hata nikitaka kwenda shamba huko ambapo ni rough road nisijiulize
Ila harrier hiyo ni ile hybrid sio tako la nyaniWakuu wa jamvi habari zenu,
Nipo kwenye uchaguzi Kati ya gari hizo mbili. Nataka my second car iwe kati ya hizi gari mbili. Nahitaji performance, fuel consumption nzuri, comfortability, stable barabarani na upatikanaji rahisi wa spare.
Mwenye ujuzi na uzoefu wa gari hizi mbili amaweza share experience na kunishauri nielekee wapi. Natanguliza shukrani
Harrier zipo nyingi sana kwa sasa.Without a reason mzee. Ama ndio fan wa subbie
subaru TX ukichukua latest ni bingo
2019Latest ni ya mwaka gani mkuu??
outback inafanya vyote.Mkuu hii ipo chinichini na sio perfect SUV. Nahitaji gari hata nikitaka kwenda shamba huko ambapo ni rough road nisijiulize
Mkuu nashkuru sana kwa mchango ila lengo ni kupata multipurpose car, nikitaka kwenda shamba nakwenda nalo, nikitaka kwenda mtoko na baby bhasi gari pia hainiangushi. Hii uliyoweka Nadhani shamba its fine ila mtokoni itaniangusha boss.Kama unataka gari ya kwenda shamba chukua hii hapa. Ni Mid Size SUV Ila ina four wheel kali sana.
Hizo ulizoweka hapa ni nzuri lakini sio gari ya kwenda shamba