Car4Sale Toyota harrier old model No CGA

Car4Sale Toyota harrier old model No CGA

LWANDAI

New Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
2
Reaction score
0
Wadau ninauza gari tajwa hapo juu ya mwaka 2000.gari halina tatizo lolote na haijawah kua na tatizo lolote.

Mimi si dalali ni mali yangu.niliagiza mwaka 2013 dec.na imekua mikononi mwangu na chini ya uangaliz wangu muda wote mpaka sasa.

Inafanyiwa service kwa wakati na ina km laki na sabini +bahati mbaya na attach picha zinagoma.

Mwenye interest anipm nitamtumia picha au kumuelekezan akaione.Bei ni mill 15.

Wataalam wa magari karibuni.Pia mwenye pikipiki Honda 250CC XR karibu tuongee.
 
Back
Top Bottom