KIMOMWEMOTORS JF-Expert Member Joined May 17, 2018 Posts 358 Reaction score 675 Dec 9, 2018 #1 Gari iko vizuri. Kila kitu kiko sawa. Imetembea kilomita 86,000. Injini ya 2AZ ya VVTi yenye Cc 2360 ambayo ni ndogo na ulaji wa mafuta wa wastani. Kwa mawasiliano piga 0754455865. Gari ipo Kigamboni Dar es Salaam
Gari iko vizuri. Kila kitu kiko sawa. Imetembea kilomita 86,000. Injini ya 2AZ ya VVTi yenye Cc 2360 ambayo ni ndogo na ulaji wa mafuta wa wastani. Kwa mawasiliano piga 0754455865. Gari ipo Kigamboni Dar es Salaam
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,496 Reaction score 51,721 Dec 9, 2018 #2 20M! ngoja waje
Mnondwe JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 4,012 Reaction score 3,683 Dec 9, 2018 #3 Ukiagiza mpaka inatoka ni 16m
monde arabe JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 8,888 Reaction score 13,645 Dec 9, 2018 #5 Noma sana!
mavado JF-Expert Member Joined Jun 25, 2014 Posts 1,158 Reaction score 816 Dec 9, 2018 #6 Ulaji wa mafuta unakaribiana na Spacio, hehee Spacio CC 1490, harrier 2360, doh
Bensonben Senior Member Joined Jul 3, 2015 Posts 186 Reaction score 268 Dec 9, 2018 #7 mavado said: Ulaji wa mafuta unakaribiana na Spacio, hehee Spacio CC 1490, harrier 2360, doh Click to expand... Cdhani kama anayajua magari huyu jamaa…
mavado said: Ulaji wa mafuta unakaribiana na Spacio, hehee Spacio CC 1490, harrier 2360, doh Click to expand... Cdhani kama anayajua magari huyu jamaa…
Obugwa Izoba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 10,483 Reaction score 11,691 Dec 9, 2018 #8 Hii kwenye matangazo ya master of the game unapata hata kwa 10 m