Car4Sale Toyota Harrirer inauzwa Tsh. Milion 22

Afrolink-Tz Consult Ltd

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
424
Reaction score
950
Habari zenu

Nauza Toyota Harrier yenye maelezo haya:
1. Jina: Toyota Harrier
2. Modeli na: MCU30
3. Aina ya bodi: Station wagon
4. Uwezo wa injini: 2490cc
5. Mwaka wa kuundwa: 2003
6. Rangi: Nyeupe ya kufififia
7. Saizi ya rims: 20' ya aluminiam na matairi yamefungwa mapya mwezi Disemba, 2023
8. Ziada: Ina redio ya android, taa za LED za Lexus za mbele na nyuma orijino
9. Inapatikana: Kigamboni/ Shaurimoyo Ilala Dsm kama wataka kuiona na kufanya free driving test
10. Bei shilingi milioni 22 (maongezi yapo)
11. Mawasiliano: 0777 777 766/0659 211 222 [call/inbox/whatsapp)
Karibuni
 

Attachments

  • 20240401_181828.jpg
    1.1 MB · Views: 17
  • 20240401_181822.jpg
    2.1 MB · Views: 21
  • 20240401_181801.jpg
    1.9 MB · Views: 16
  • 20240401_181801.jpg
    1.9 MB · Views: 17
  • 20240401_181657.jpg
    1.8 MB · Views: 18
  • 20240401_181559.jpg
    1.8 MB · Views: 15
  • 20240401_181732.jpg
    935.5 KB · Views: 14
Kila la kheri ,waambie Mod wakubadilishie Title isomeke milion 22 na si 222.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…