Car4Sale Toyota Hiace 3L inauzwa

Car4Sale Toyota Hiace 3L inauzwa

Step by step

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
1,164
Reaction score
1,293
Wakuu nauza gari tajwa hapo juu kwa pesa za kitanzania sh 14, 000, 000 japo maongezi yapo. Gari ipo Kibaha Mlandizi njoo na fundi wako ukague ukiipenda tunayajenga.

Gari ni ya diesel na ni manual

No 0622832331

Tuwasiliane

1661947562071.png

IMG_20220714_155958_0.jpg
 
Wapi nimesema naangalia namba?? Depreciation ni kulingana na miaka.
Nissan datsun pickup ina miaka 15 sasa lakini ilivyotunzwa hata ukibandika namba E mtu anakubali maana safari ipo.
Rejea nimesema njoo na fundi wako
 
hii ngoma uikute road na dereva mzuri, aah utaipenda mbona,
 
Back
Top Bottom