Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,164
- 1,293
Njoo inbox kwa maongezi na picha zaidi wezi huwa hawaibi mchana nduguPicha za wizi wizi sana tu.
Unahitaji picha ya sehemu gani ya gari nipige nikuwekee sasa hivi maana gari niko nayo hapaPicha za wizi wizi sana tu.
Hakuna mnunuaji hapo Kaka acha kuhangaika nayeUnahitaji picha ya sehemu gani ya gari nipige nikuwekee sasa hivi maana gari niko nayo hapa
Hiyo ndani, nyuma na mashineView attachment 2340792Unahitaji picha ya sehemu gani ya gari nipige nikuwekee sasa hivi maana gari niko nayo hapa
Gari ina zaidi ya miaka kumi Tanzania.. bei inatakiwa kuwa 5m.
Maoni yako yamechukuliwa kumbe unaponunua gari unaangalia namba na sio mashine na body? Haya tafuta 28-30M uagize mpyaGari ina zaidi ya miaka kumi Tanzania.. bei inatakiwa kuwa 5m.
Wapi nimesema naangalia namba?? Depreciation ni kulingana na miaka.Maoni yako yamechukuliwa kumbe unaponunua gari unaangalia namba na sio mashine na body? Haya tafuta 28-30M uagize mpya
Nissan datsun pickup ina miaka 15 sasa lakini ilivyotunzwa hata ukibandika namba E mtu anakubali maana safari ipo.Wapi nimesema naangalia namba?? Depreciation ni kulingana na miaka.
Gari iliyokaa na mtz kwa zaidi ya miaka mitatu sinunui. Nawajua watz vizuri.Nissan datsun pickup ina miaka 15 sasa lakini ilivyotunzwa hata ukibandika namba E mtu anakubali maana safari ipo.
Rejea nimesema njoo na fundi wako
Usinunue mkuu fuata kitu moyo wao unaaminiGari iliyokaa na mtz kwa zaidi ya miaka mitatu sinunui. Nawajua watz vizuri.
Sawa my ..Fe maana umekuwa msemaji wangu sasa !Hakuna mnunuaji hapo Kaka acha kuhangaika naye
Me my wako Tena!?Sawa my ..Fe maana umekuwa msemaji wangu sasa !
My wifeMe my wako Tena!?
Wabongo wanaangalia namba za usajili.hii ngoma uikute road na dereva mzuri, aah utaipenda mbona,