Toyota Hiace Inauzwa Milioni 7.5

Toyota Hiace Inauzwa Milioni 7.5

Gazillionaire

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
235
Reaction score
59
Gari aina ya Toyota Hiace inauzwa. Ipo Dar es salaam na Iko kwenye hali nzuri sana. Ni ya mwaka 1996, Engine ya Diesel, ina viti vya kukaa watu 17, na imesajiliwa kwa Biashara. Mwenye kuihitaji anipigie kwenye: 0686555726
 
Weka Picha ndugu,imesajiriwa lini tanzania namba zake na ina route ipi?
 
Gari aina ya Toyota Hiace inauzwa. Ipo Dar es salaam na Iko kwenye hali nzuri sana. Ni ya mwaka 1996, Engine ya Diesel, ina viti vya kukaa watu 17, na imesajiliwa kwa Biashara. Mwenye kuihitaji anipigie kwenye: 0686555726

niko serious hii kitu bado iko
 
Back
Top Bottom