Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio kluger magari yenye kudumu ,my friend analo mwaka wa 10 huuToyota Highlander from 2005 to 2007, ni bonge la gari kuwabi kutokea.
Itakuja kamati ya subaru kupinga hili, ili huo ndio ukweli.View attachment 2599765
🤣🤣Gari kama kishikwambi
watu wana maneno😃
KlugerToyota Highlander from 2005 to 2007, ni bonge la gari kuwabi kutokea.
Itakuja kamati ya subaru kupinga hili, ili huo ndio ukweli.View attachment 2599765
Ni gari nzuri hasa upate yenye engine ya 1MZ. Very powerful and comfortableHii ndio kluger magari yenye kudumu ,my friend analo mwaka wa 10 huu