Salaam wakuu,
Naomba tubadilishane ufahamu juu ya gari za aina hii.
Nahitajj kumiliki moja, naomba kufahamu bei imesimamaje hv sasa kwa used toka Japan au uingereza. Vipi kodi zetu hapa kwa siku za Karibu. Jumla zina gharimu bei gani?
Vipi matumizi yake ya mafuta?
Vipi spare parts Gharama zake?
Anyway kwa ufupi naomba share chochote ukijuacho kuhusu gari hii kwa nia ya ufahamu hasa kwa hapa Tanzania.
Shukrani sana, karibuni.
Hiyo gari CIF ni dola isiyopungua 20,000 na ushuru wake ni around 20plus hiyo garama halisi ni uwe na mil 65 ndio uhakikaVp kuhusu Gharama zake hadi kufika hapa bongo?
Hizi gari zinakimbia balaa.
We leta tu, Tanzania ni nyumbani kwa Toyota..
Nasikia south africa bei cheap kidgo. Je kuna ukwel?
nunua hata mwaka gani Arusha milano auto expert pia wanafanya kazi hiyo unaweza kuwa na cruiser 200 series ya mwaka 2012 ila wakaifanya ikaonekana kama ya 2016Mimi nazipenda sana hizi gari. Ila nitanunulia thailand kuna kampuni kule kama ronimotors.com wanabadili shape inakuwa kama ya 2016 pale mbele. Nikiuza harrier nitanunua pickup hasa Direct injection 4 stroke Diesel (D4-D)
mkuu land cruiser ya 2010 inaenda ngapi bondeniSouth hizo gari sio bei zipo nyingi tuu ya 2012 ni ya zamani hiyo maana wanapotoa toleo jipya model ya toleo la nyuma inashuka bei...
Nakutafuta sana mkuuSouth hizo gari sio bei zipo nyingi tuu ya 2012 ni ya zamani hiyo maana wanapotoa toleo jipya model ya toleo la nyuma inashuka bei...
Ni pick up!Hillax ndo nini
Mkuu kwema?? Vipi kwa bmw x3? Bei plzSavius Cruiser nyingi zipo mpumalanga mashambani mjini zilizopo ni zilizopata ajali huko kwa mwaka huu sijakwenda mwezi wa nane ntakua huko tukijaaliwa ntakupa bei ya shamba..unataka pick up au