Toyota hilux-d/cabin inauzwa

Toyota hilux-d/cabin inauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
Pick-up, nyeupe,1996model, manual transmission, 2800cc, diesel,3l engine, ipo katika hali nzuri ukiiona lazima uipende.
Ac inafanya kazi barabara. Bei 16mil
 

Attachments

  • PIC01008.JPG
    PIC01008.JPG
    32.4 KB · Views: 112
  • PIC01009.JPG
    PIC01009.JPG
    34.5 KB · Views: 108
  • PIC01011.JPG
    PIC01011.JPG
    32.7 KB · Views: 113
Zinavumilia sana hii ukiwa nayo ni mkataba si ni 2.8?
 
duu 16m ok ila mmmm hayaa...kazi ipoo kuna mtu anahitaji ila ana 11m
 
kweli kabisa. nunua au mpatie habari hii mtu anayehitaji nawe utapata kamisheni

kamisheni yako ni kubwa sana mpaka unamuaidi mtu mwingine kamisheni,
weka fair price uuze haraka
 
Back
Top Bottom