Car4Sale Toyota Hilux Double Cabini Inauzwa

Ramthods

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
515
Reaction score
187
Toyota Hilux D/Cabin inauzwa. Ipo katika hali nzuri sana. Haina tatizo lolote. Imekua ikitumika kwa kazi za nyumbani. Body, engine, interior vyote vipo katika hali nzuri sana

Details:
Year of import:
May 2002
Year of Manufacture: 1989
Engine: 3L Diesel, 2779cc
Make/Model: Toyota/Hilux-D/Cabin
Model Number: LN107
Color: Red
Seating Capacity: 5
Registration Type: Private/Normal

Gari imekua na mmiliki mmoja tangu kununuliwa. Mmiliki ni mwanamama, hivyo uwe na uhakika imetunzwa vizuri.

Bei ni: TZS 17,900,000

Maelezo mengine ni kama inavyoonekana kwenye picha kwenye viambatanisho. Kama una swali, usisite kuuliza. +255 713 809050

Note: Mimi sio mmiliki, na pia sio dalali. Hii ni gari ya mama yangu. Malewano zaidi ni baina yenu nyie wawili.
 
Wamama wanatunza interms of purukushani tu ila seevice wapo shalo sana. Na bei nayo imechangamka si haba...kila la kheir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…