Car4Sale Toyota Hilux for sale

Car4Sale Toyota Hilux for sale

halikatwe

Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
48
Reaction score
29
Nauza toyota hilux bei 7.5 haidaiwi chochote na kama inadaiwa italipwa kwa bei ya Manunuzi ipo mwanza inatumia Diesel manual gear ni nzuri kwa long trip na matumizi yake ya mafuta ni mazuri mwenye utayari ani PM ishu ni seriously blaa blaa..
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Kwa hiyo huna uhakika kama inadaiwa au la. Kuwa specific Au sio yako?
 
Attachments

  • 1474570603405.jpg
    1474570603405.jpg
    61.3 KB · Views: 68
Back
Top Bottom