darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 685
- 600
Hapo ndo patamuNa vipi kuhusu kodi ya hilo gari (yaani anapotaka kubadilisha umiliki), analipa nani! Muuzaji au mnunuzi?
Iyo Gari Ina Exemption Ivyo Ukinunua Utalipia Ushuru Ambapo Ni Hela Ndogo Sana Na Baada Ya Hapo Utapewa Usajili Wa Namba Mpya Na Kwa Upande Wa Kubadilisha Umiliki Ni Juu Yako MnunuziNa vipi kuhusu kodi ya hilo gari (yaani anapotaka kubadilisha umiliki), analipa nani! Muuzaji au mnunuzi?
Hela ndogo sh ngp?Iyo Gari Ina Exemption Ivyo Ukinunua Utalipia Ushuru Ambapo Ni Hela Ndogo Sana Na Baada Ya Hapo Utapewa Usajili Wa Namba Mpya Na Kwa Upande Wa Kubadilisha Umiliki Ni Juu Yako Mnunuzi
Kwa Makadirio Ya Haraka Haraka Inaweza Ika Milioni 2 Na Laki 8 MzeeHela ndogo sh ngp?