Jeitakuajejaji
Senior Member
- Mar 18, 2010
- 175
- 394
Niliandika uzi wakulalamika nyuzi nazoanzisha kufutwa nao ukafutwa dah
Vipi hiyo Ngoma ya kazi, akitokea mteja na mpunga wake kwenye mfuko wa shati! Utamuuzia?
Kama milioni ngapi vile?Akifika bei nampa
Kama milioni ngapi vile?
Kuna 6m chapWewe ndio uje na offer Mkuu nikiona inafaa ntachukua me siwezi sema Maana issue yangu ni kukodisha . Kwahiyo nishawishi niuze Kwa donge nono
Kuna 6m chap
Kuna 6m chap
Huwezi kupata, chuma ya pori kwa bei ya pikipiki huwezi, sana andaa kuazia 25,28, 30 mkaongee kiutu uzima
25-30m ndio bei inayouziwa japan, japo zinakuwa used lakini siyo sana, hivyo nategemea bei itakuwa chini ya hapoHuwezi kupata, chuma ya pori kwa bei ya pikipiki huwezi, sana andaa kuazia 25,28, 30 mkaongee kiutu uzima
Huwezi pata hiyo chuma kwa 25 japan25-30m ndio bei inayouziwa japan, japo zinakuwa used lakini siyo sana, hivyo nategemea bei itakuwa chini ya hapo