Jitayarishe kulipa dumping tax kwani hii gari ni ya zaidi ya miaka 10.
kweli nakubaliana na hilo; Je nani anaweza kunisaidia kujibu maswali ya hapo juu?
kweli nakubaliana na hilo; Je nani anaweza kunisaidia kujibu maswali ya hapo juu?
mkuu....surf in general sio gari imara wala powerful kama LAND CRUISER,sio spacious kama normal SUVs,noisy and cheap-looking car[poor quality]....having said that haina maana kuwa ni gari mbovu kihiivyo......muhimu unaitumia wapi na vipi......
Surf ambazo sio imara ni zile zenye engine ya 2L-TE. Ile yenye engine ya 1KZ ni nzuri kama jamaa anavyosema na nadhani hata kama sio powerful kama Land Cruiser (3000 cc vs 4000 cc) bado naweza kusema acceleration yake ni kubwa kuliko Land Cruiser, kwani kuna masuala ya uzito vile vile.
nikizungumzia uimara wa gari esp.4x4 simaanishi engine tu....
u must be joking.....
Nitashukuru kama ukitufafanulia kwa kirefu
hio ni straight foward......just think WHY UN and all the international and national organisation prefer LAND CRUISER over SURF which is very cheap compare the former...........
hio ni straight foward......just think WHY UN and all the international and national organisation prefer LAND CRUISER over SURF which is very cheap compare the former...........
prondo sijakuelewa vizuri, kwa sababu un na international organization zinatumia landcruiser ndo zinaifanya surf kuwa siyo imara?
Ila nahisi una maelezo mazuri unayafahamu ubovu wa surf, nitashukuru sana kama utaweza kueleza kwa uyakinifu zaidi na jinsi ya kufanya maana kama ni kuingia mkenge inawezekana nimeshaingia mkenge maana gari ipo njiani to tz. Sasa hebu jaribu kueleza zaidi kidogo zaidi kuhusu ubovu wa surf technically.