Tatizo nyie madalali ndo mnafanya biashara za watu zikwame unaweza kuta mwenye mali kasema ni 12m wew unapeleka mpaka 20m utasubiri sanaWakuu kwa wale wanaopenda gari ngumu na zinazodumu muda mrefu basi hii Toyota Hilux ndo inawafaa
Gari ni namba A
Bodi na Engine viko vizuri sana
Ulaji wa mafuta ni wa kawaida,km 10/lita
Aina ya injini ni 3Y
Gari iko Kimara Dsm kwa atakaehitaji kuiona
Bei ni Milioni 20 (Maongezi yapo)
Mawasiliano: 0686300352
Karibuni sana.
View attachment 334183
View attachment 334184 View attachment 334185 View attachment 334186 View attachment 334187
km umeielewa we fika bei tu mkuu,,ndo maana ya maongezi kuwepo na ndo biasharaTatizo nyie madalali ndo mnafanya biashara za watu zikwame unaweza kuta mwenye mali kasema ni 12m wew unapeleka mpaka 20m utasubiri sana
Chukua bei uliyonunulia wewe, iweke kwenye dola kwa rate ya kipindi hicho. Then ukishapata hela katika dola, toa depreciation/ uchakavu asilimia hamsini. Bei utakayopata katika dola ibadilishe kwa bei ya sasa ya shilingi, ndio utakuwa umepata thamani halisi ya mali yako...ww unaeza kuinunua kwa sh ngapi hyo mkuu?? kumbuka injini iko gado sanaa!
nakimbizana mkuu kibwenzi,, mil 10 uko mbali sanaa! vibali bado viko valid,,kuhusu kutembea km ngap ntakupa jb mkuu kibwenzimbona kama unakimbizwa kuandika elezea vizuri leta nyama za kueleweka.. je vibali vimelipiwa vyote? na je imetembea km ngapi? tulia andika vizuri. chukua mil 10 fasts.