stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,094 Reaction score 27,978 Sep 21, 2013 #1 Toyota Ipsum inauzwa ya 1999,Model GF-SXM10G,Reg.No.T...CCQ,Milleage 103000km,Petroleum,Automatic,7 Passengers,Rangi Cream white iko kwenye hali nzuri sana,bei 7 Mil.nipigie 0655-880429.
Toyota Ipsum inauzwa ya 1999,Model GF-SXM10G,Reg.No.T...CCQ,Milleage 103000km,Petroleum,Automatic,7 Passengers,Rangi Cream white iko kwenye hali nzuri sana,bei 7 Mil.nipigie 0655-880429.
C chwechinyong JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 223 Reaction score 105 Sep 21, 2013 #2 ngoja tusubiri hiyo picha, tusijeuziwa mbuzi kwenye gunia
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,094 Reaction score 27,978 Jan 17, 2014 Thread starter #3 Picha naweka leo wadau bado ipo.
bucho JF-Expert Member Joined Jul 13, 2010 Posts 5,175 Reaction score 3,276 Jan 17, 2014 #4 Weka picha tuone
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,094 Reaction score 27,978 Jan 17, 2014 Thread starter #5 stephot said: Picha naweka leo wadau bado ipo. Click to expand... Picha hizo hapo wakuu Attachments IMG00251.jpg 65.4 KB · Views: 366 IMG00252.jpg 50.7 KB · Views: 336 IMG00253.jpg 49.4 KB · Views: 320 IMG00254.jpg 58.6 KB · Views: 310 IMG00258.jpg 64.4 KB · Views: 301
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,468 Reaction score 20,881 Jan 27, 2014 #6 stephot said: Wakuu ile Ipsum bado ipo bei yetu imepungua mwenye 8Mil tuwasiliane tufanye biashara. Click to expand... 5.5 milion
stephot said: Wakuu ile Ipsum bado ipo bei yetu imepungua mwenye 8Mil tuwasiliane tufanye biashara. Click to expand... 5.5 milion
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,094 Reaction score 27,978 Jan 27, 2014 Thread starter #7 13 mega pixel said: 5.5 milion Click to expand... Uko chini sana mkuu,panda kidogo.
andishile JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 1,429 Reaction score 522 Jun 8, 2014 #8 GARI bado lipo? nakutumia no ya mtu aje!
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,094 Reaction score 27,978 Jun 8, 2014 Thread starter #9 andishile said: GARI bado lipo? nakutumia no ya mtu aje! Click to expand... Nimesharudi mwambie aje tu mkuu.
andishile said: GARI bado lipo? nakutumia no ya mtu aje! Click to expand... Nimesharudi mwambie aje tu mkuu.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,490 Reaction score 138,365 Jun 8, 2014 #10 stephot said: Wakuu ile Ipsum bado ipo bei yetu imepungua mwenye 8Mil tuwasiliane tufanye biashara. Click to expand... kwenye uzi wako unasema unaiuzwa ipsam hiyo 7mln sahvi tena wasema bei imepungua unauza 8mln vp tena mkuu.....taja bei moja
stephot said: Wakuu ile Ipsum bado ipo bei yetu imepungua mwenye 8Mil tuwasiliane tufanye biashara. Click to expand... kwenye uzi wako unasema unaiuzwa ipsam hiyo 7mln sahvi tena wasema bei imepungua unauza 8mln vp tena mkuu.....taja bei moja
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,094 Reaction score 27,978 Jun 8, 2014 Thread starter #11 mrangi said: kwenye uzi wako unasema unaiuzwa ipsam hiyo 7mln sahvi tena wasema bei imepungua unauza 8mln vp tena mkuu.....taja bei moja Click to expand... Sorry bei halisi ni mil 7,nimeliona kosa asante kwa kunikosoa.
mrangi said: kwenye uzi wako unasema unaiuzwa ipsam hiyo 7mln sahvi tena wasema bei imepungua unauza 8mln vp tena mkuu.....taja bei moja Click to expand... Sorry bei halisi ni mil 7,nimeliona kosa asante kwa kunikosoa.
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,094 Reaction score 27,978 Jun 18, 2014 Thread starter #12 Toyota Ipsum imeuzwa,asanteni.