Toyota Ipsum inauzwa

Mateso

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2008
Posts
259
Reaction score
19
Toyota Ipsum ambayo imetengezwa mwaka 1998 inauzwa kwa bei poa. Tshs 8 m. Kuna kuelewana kwa mapunguziano. Mpigie mwenye na 0756769741
 
Weka picha jamvini wadau waone kama inalipa au kimeo ili watu tufanye maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…