Feliciansanyenge Member Joined Sep 8, 2013 Posts 23 Reaction score 11 Jan 12, 2020 #1 Nimejichangachanga nataka moja kati ya hizo, kwa anayezifahamu, ni ipi nzuri kuanzia muonekano, uimara mpaka perfomance.
Nimejichangachanga nataka moja kati ya hizo, kwa anayezifahamu, ni ipi nzuri kuanzia muonekano, uimara mpaka perfomance.
mr chopa JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 5,297 Reaction score 13,678 Jan 12, 2020 #2 Wish Sent using Jamii Forums mobile app
Feliciansanyenge Member Joined Sep 8, 2013 Posts 23 Reaction score 11 Jan 12, 2020 Thread starter #3 mr chopa said: Wish Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... kwann unasema wish? Vigezo?
mr chopa said: Wish Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... kwann unasema wish? Vigezo?