Martine Joseph Siwa
Member
- Jul 14, 2021
- 6
- 3
Hamna boss nimekosea ni 15.9M tu.Mbona unaiuza million 60 mzee? Tutashindwa nunua sasa
HAPANA BOSS SIKUWA NA LENGO ILO!! kosa langu nini labda mi binafsi naona kila kitu Kipo wazi kasoro bei ndo sijaandika na inaenda kwa 15.9M tuuu? Kama ni gari la type yako Karibu sana kaka.Ndio umeandika Ads ivo ili wateja wakuulize maswali ?
Milioni 45 hupati mtuUSED TOYOTA IST
1290CC
MILEAGE 99809Km
AERO
FOG LIGHTS
YEAR 2004
TRANSMISSION 2WD
COLOUR BLACK.View attachment 2834113View attachment 2834114View attachment 2834112View attachment 2834115View attachment 2834116View attachment 2834117View attachment 2834119View attachment 2834118
15.9M sio 45MMilioni 45 hupati mtu
Befoward hio bei wew weka kuanzia 10HAPANA BOSS SIKUWA NA LENGO ILO!! kosa langu nini labda mi binafsi naona kila kitu Kipo wazi kasoro bei ndo sijaandika na inaenda kwa 15.9M tuuu? Kama ni gari la type yako Karibu sana kaka.
Wanatamaa sana hao,halafu kwenye namba zao wanapenda sana 9,utasikia mil 5.9,mil 3.9 hahahahaha bongo nyosoBefoward hio bei wew weka kuanzia 10
Kodi tu ya tra ,wharfage port charges ni karibu 9 mil hapo bado hujainunua japan plus shippingBefoward hio bei wew weka kuanzia 10