Sababu ya kuiuza?Toyota IST Inauzwa 8,500,000TZS,ni ya mwaka 2003!
Ipo vizuri! Service ya mara kwa mara!
Cheki Picha hapa chini!
Kwa maulizo na manunuzi nicheki kupitia 0759-966623.
Mkuu kwa nini kumkatisha mwenzio tamaa!? Kama unaweza kuagiza likakufikia kwa bei hiyo si upite kimya kimya mkuu??!! Wapo watakahitaji...amini...Sasa kwa hiyo bei si bora kufanya ordering mnunuzi mwenyewe,upate used ya Jap na sio double used ya Bongo