Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Nina mashaka sana na hizo picha za ndani ya gari kama zinahusika na gari hiyo hiyo. Mbona zinatofautiana sana.Toyota ist
Price 7ml
Full AC
Full documents
Year made: 2003
Engine volume: cc 1490
Njoo na fundi wako kagua gari
Piga simu 0744033555
Dar es salaamView attachment 1691700View attachment 1691701View attachment 1691702View attachment 1691703View attachment 1691704
Ziko sawa kamanda.Nina mashaka sana na hizo picha za ndani ya gari kama zinahusika na gari hiyo hiyo. Mbona zinatofautiana sana.
Muuzaji embu weka sawa ili twende pamoja na sisi wateja.
Karibu sanahiyo ist unatakiwa uuze 4m. mimi nikinunua hiyo nitang'ofoang'ofoa niuze spareparts tu.
pamoja na kuipiga rangi ya nyumba bado unauza M7Toyota ist
Price 7ml
Full AC
Full documents
Year made: 2003
Engine volume: cc 1490
Njoo na fundi wako kagua gari
Piga simu 0744033555
Dar es salaamView attachment 1691700View attachment 1691701View attachment 1691702View attachment 1691703View attachment 1691704
Jibu zuri sanaKaribu sana
Kama hii haiko katika standard zako unaweza kunipa order nitafute gari itakakayokuridhisha.