Nakuja kwenu kuomba msaada kidogo gari aina ya IST ghafla tu kioo cha mlango wa dereva hakipandi lakini vingine vyote vinapanda na kushuka naombeni msaada wenu.

Hii ilinisaidia hapa juzi kati... ukigoogle zaidi kuna solutions kadhaa hadi za video..
Fungua cover la mlango usafishe reli uchafu na maji yanaingiaga, grease inakauka pia cheki mota